Tunaliinua jina lako baba asubuhi hii. Tunasema asante kwa siku njema machoni petu
Umekuwa nasi usiku nzima tunasema asante,tunaikabizi siku hii mikononi mwako simama nasi kwa kila jema eeh bwana
Nikiomba na kuamini Amen.🙏🏾
Tunaliinua jina lako baba asubuhi hii. Tunasema asante kwa siku njema machoni petu
Umekuwa nasi usiku nzima tunasema asante,tunaikabizi siku hii mikononi mwako simama nasi kwa kila jema eeh bwana
Nikiomba na kuamini Amen.🙏🏾
Asante Bwana naiona siku mpya, naianza kwa kurudisha sifa na utukufu kwako.
Katembelee wagonjwa waliopo mahospitalini na majumbani.
Kawape ushindi waliopo magerezani wanakipigania haki zao
Katembelee wafanyabiashara ukawape wateja kwenye biashara zao
Tunaomba na kuamini Amen
Tunaliinua jina lako Bwana ni siku nyingine tena. Tunasema asante,
Umefanya mengi yasiyoelezeka, umetupa heshima katikati ya maadui zetu.
Bariki kazi zetu riziki zikajibe siku ya leo, bariki familia zetu
Nikiomba na kuamini Amen.🙏🏾
MAJANI YA MHOGO NI DAWA KUBWA SANA!!
■ Kama utaumwa tumbo au tumbo likiuma
Tafuna majani 3 au 5 unapona.
■ Jicho likikuuma saa, kamulia majimaji yake jicho litapoa.
■ Nyoka akikutemea mate yake machoni kamulia majimaji yake majani litapona.
■ Uking'atwa na nyoka , tafuna majani haya kwa mdomo kisha bandika hapo fungishia na senti ya 500 kwa juu.
■ Ukiwa huoni mbali au unaona ukungu basi chukua majani haya kamulia majimaji yake kila siku usiku kabla ya kulala.
■ Kama hauna hamu ya kula, au mtu kapoteza hamu ya kula saga juice hii mpe anywe hata kama ni mtoto kwa siku 2 hadi 3 atakuwa sawa
Asili huponya