Unaweza kusoma SAYANSI sekondari na Chuo na bado ukafanya kazi ya udalali. It is OK. Siyo kosa lako kwamba hatuna mambo ya career advice. Siyo kosa lako kwamba ulichosomea hukipendi. Na siyo kosa lako kwamba ajira za field yako hakuna. Unakamata fursa inayokujia.