WORLD CLEANUP DAY, TANZANIA πΉπΏ
Tarehe 20, Septemba, 2024. Pale DAR ES SALAAM na DODOMA. Tutaadhimisha siku ya USAFI DUNIANI, kwa kufanya USAFI wa nguvu.
"KARIBU UNGANA NASI"
π +255 626 000 014
#WorldCleanupDayTanzania#UsafiNiUtu#GoPlantTanzania
MITI imepandwa katika shule ya "ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL DODOMA"
Pichani MABALOZI wa mazingira, ANNETH, SAKINA na LIKUDA.
Na aliyebeba "DUMU" la maji, ni Mh.Dr.SELEMANI JAFO (MB) waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa RAIS Muungano na Mazingira.
#GoPlantTanzania@vpo_tanzania
INATOSHA sasa, huyu KIPINDUPINDU hizi round mbili zinamtosha. Haya sasa SHIME wa-TANZANIA ππ TUMFURUMUSHE huyu ndugu "KIPINDUPINDU" kwa kusafisha na kutunza mazingira yetu πΉπΏπΉπΏ
KNOCK OUT π₯π₯ KIPINDUPINDU
#KnockOutKipindupindu#GoPlantTanzania