Watanzania tumeona ndugu zetu wakifa mbele ya macho yetu na wanaotuua ni POLISI , USALAMA WA TAIFA NA VIKOSI VYA SAMIA.
Hatujawahi kuona hali hii kabla tangu nchi ipate uhuru. Haya yote aliyafanya nchi ikiwa GIZANI akifikiri dunia haitaona haya mauaji ya kinyama.
Leo tunapost na dunia inaona unyama tuliofanyiwa na Dikteta JIKE. hakika hizi damu za watanzania hazitaenda BURE kamwe.
CRIMINALITY VS POVERTY
Ni muhimu kutofautisha kati ya “Uhalifu” (criminality) na “Umaskini” (Poverty). Mtu akiwa na njaa na anataka kufa njaa, aliona chakula, jinsi atakavyo kifakamia unaweza sema ni mnyama.
Tanzania’s youth wamenyimwa kusikilizwa, fursa, kushirikishwa, ajira, nk. They are frustrated na wao ndio wengi… Kama anavyosema hayati Tupac Shakur, sauti za kuomba zinabadilika kadri muda unavyoenda na mwishowe wanaanza ku sound & act aggressive alafu WATESI WAO wanaanza kuwa label kuwa ni WAHALIFU, na ku-justify kutumia nguvu kuwaumiza.
Mimi binafsi nina malalamiko na matatizo mengi sana, ila compared na average Tanzanian youth, I AM PRIVILEGED! Ila nina humility ya kutosha kufahamu kuwa lottery ya maisha ilinipendelea kuwa hapa bila kuwa special kwa chochote, na kuwa wenzangu ambao pengine wakiwa na fursa kama zangu wanaweza kuwa mbali zaidi.
Nasikitishwa na Marafiki zangu ambao they are privileged like me (some more than me) wanao justify the killings of the youth na kuwa dismiss as “Wahalifu”, a narrative perpetuated by Watawala.
Literally we are incriminating the disenfranchised who were rightfully voicing their frustration, to justify their termination so we can continue to exploit them.
KAMA KUWA MASKINI NI KOSA, BASI SISI NI WAHALIFU
“Nanotechnology Devices - this stuff was never even heard of”
“Digital ID & CBDC”
“Vaccination programmes run by authorities like The World Health Organisation”
This Man Knew 28 years ago because the Plan for everything happening now has been planned for decades.
@Afruturist Is this the same Nyerere who went to war, train people for war and provided aid for war in neighbouring countries, help strategise war against colonialist in siter countries, and built the first tanganyika army and police force? For peace is the only way