@chapo255 Mnooo sijawai muelewa..anatabia ya kuharibu hata vipaji vya wachezaji aana huyu jamaa!! Ukiangalia hata apa bado mavambo hakua mchezaji wa kuondoka lkn yy ndo sababu ya kumharibu!! Kaka angalia apo yule camara leo kambadilishia nafasi anayocheza sio yake ndo mana jamaa wametushik