Mimi naye nikinunua gari nitatesa sana aki. Log book ikitokea tu namna hii monday naamkia pale kamukunji kwa duka ya Eve maina. Nimwambie aje,lets go talk in my car. Tukiingia tu kabla ata tufunge michipi,mamunju zishaanza. Mwah! Mwah! Mwah! 15 minutes! Alafu nimuulize are you hot? Sasa nimwashie AC,temperature ni 16Degrees kama za wajakoya. Angalau askie kabaridi kidogo sababu saa iyo nitakua nimechemsha yeye kama uji ya wimbi,yani ako apo tu anatoa bubbles. Alafu nimwachie 250 lunch. Nikitoka hapo sasa ni kuzurura huko Karen,huko kwenye hawaitikiangi tuingie na nduthi. Soja akiniuliza kama nimekuja kupick ama kudrop juu anaona naendesha nissan bluebird,namwambia nimekuja kupick nyanya yako,Open the gate! Bwana the signs will be there. Charles darwin help us