@MustafaPierro@kigogo2014 Katuahidi barabara ya makongo na Ile ya salasala in 90days kwa Nini tusimchague kwa mfano na wakati bulldozer mbili ziko home kwake
@Evans20005@zittokabwe Kuna kitu nawaza kwa sauti ndogo as to why Mwalimu aliruhusu vyama vingi ilhali alitaka kupinduliwa wakati wa chama kimoja. Aliyekutangulia katangulia. Kuna kitu ambacho watz hawatakuja jua juu ya yote haya. Membe sio raia wa kawaida Kama mm na wewe, Mrema na mamvi Hali ni hyohyo
@godbless_lema Hiyo imekaa kisiasa Sana, mbona sijawahi sikia mkazi mmoja wa Singida kakamatwa kwa kufanya hivyo? Hawa watu walifanya hivyo kwa makusudi ya dhati wakijua kwa dhamiri zao ni Nini waliadhimia kwa kitendo Chao.
@RealHauleGluck Hatuhitaji Simba wengi wakiongozwa na kondoo Hawa hawafiki popote Bali tunahitaji Simba mmoja akiongoza kondoo maelfu. Attitude matters alot. Huyo membe ni kondoo, Magu ni simba na ameonyesha kwa vitendo. Magu tano tena
@zittokabwe Nadhani ACT mna mlengo ule ule sawa na NCCR ya mama Africa ya kuwa chama kikuu Cha upinzani ili mpate ruzuku pia wenye ushawishi miongoni mwenu kupewa pesa zaidi kutoka kwa vibaraka ndani na nje. Msitutoe kwenye line. Ujinga mwisho 2015 from 2020 hakuna nafasi.
@zittokabwe Kupambania kile ambacho tunakiamini lakini sio kile ambacho wale wanatumwa na vikundi vya watu ndani na nje ya nchi kutusemea watanzania tunaoipenda nchi yetu. Kisa una followers na popularity isiwafanye kututoa kwenye mstari. Ujinga mwisho 2015 Sasa wote twaelewa.
@zittokabwe Mkiing'oa CCM Nani aongoze nchi? Kipi kipya mtafanya? In this life timing is very important, know where to stand and button to press kufikia uchumi wa kati, Sasa sijui mna lipi jipya. Vijana smart na chapakazi tuko kuangalia hii game tukiona kina Wassira wanademadema tutaingia
@JideJaydee Leo mdogo wangu kaniambia usijesema mtu bahiri kila nikimuomba pesa hanipi. Nenda katafute uone Kama ni rahisi kuipata. Hii ni baada ya kuniomba pesa na Mimi nikamtafutia sehemu ya kufanya kazi saloon. Baada ya kusimama kutwa mzima akisuka watu kaja na hili. Hali kwenu ikoje?
@HecheJohn Hivi haya mambo yakukusanya watu ni hivihivi hata nchi jirani zenye uchumi kama wetu na waliotuzidi? Mliotembelea nchi za wenzetu mtuambie Kama SA, Kenya, Rwanda nk wanafanya hivi
@Roma_Mkatoliki Sasa Kama wewe ni wa kupanick lazima uende tuition, kingine ni uhaba wa teachers unakuta hata wakigawana zile topic za chemistry au physics unakuta hamuwezi maliza kwa wakati. Ila Mimi binafsi namshukuru Mungu pale Mzumbe tulikuwa afadhali kidogo. Kwa hiyo inategemea na shule.
@Roma_Mkatoliki Mimi nadhani inategemea na shule uliyosoma wengine kwenda tuition ni kutaka tu sio kwamba walimu wabovu la hasha, sema Kuna wengine wanapenda tu kutangulia kujua Mambo ili wakapanikishe wenzao pale school hasa A LEVEL PCM PCB. unakuta jamaa linatiririka integral Hadi sio pouwa
@AnnaMghwira Leo binafsi nakupongeza mama kwa kuanzisha huu mdahalo. Lakini napata furaha kuona vile watu Wana mawazo chanya na kunia kujenga nchi na kuondoa mizozo. Hapa hakuna utopolo Wala Mambo ya kisiasa. Pongezi kwenu wachangiaji. Mungu awaweke zaidi.