@DrCyrilo@MariaSTsehai@SuluhuSamia@MagufuliJP Well said brother! Mama ajiwekea mitego mwenyewe kuwakumbatia hao watu Ni hatari kwake watamkwamisha Sana alipaswa kuwasafisha kabisa .
@MijuLee_Tz @ThatNigger85 @JemsiMunisi Hayo yote walishayawaza wakaona disadvantage Ni nyingi ndio maana pin ikawepo. Kupasuka display ingekufanya ushindwe kutoa line ili uiweke kwenye simu nyingine mawasiliano yaendelee mpaka display itakapopona, button inaweza kustuck pia ukashindwa kutoa line.