@Tweener003 Mwana ni mtoto wa mhenga aliesema "Funika kombe mwanaharamu apite" mwamba anaenda zake kuila pepo yake kama yote duniani, maana hakuna ambacho atanyimwa hahahaha ๐
@rollymsouth Alafu Yule chawa manara anakwambia akiendesha buggati ni sawa tu hata wewe hngekuwa mtoto wa raisi usingependa kuendesha. Sisi ungetufanyia mambo mazuri kama huduma nzuri kuanzia elimu afya kazi na kadhalika hata angenunua ndege hakuna ambae angamsumbua. Akili zao ndogo sana
@rollymsouth System ya uendeshaji mradi ndio tatizo, magari mengi yamekufa hayafanyiwi service hela zinakusanywa zinaingia mifukoni kwa.watu na kupelekwa kusikostahili. Leo hata wakinunua magari mapya kesho kutwa tu tunarudi klhukuhuku tulipo sasa juu ya ukilitimba wa uendeshaji mradi.
@zingibermc@rollymsouth Hii mpaka akili kubwa kama yako ndo iwe imeshika kitengo. Tuna ardhi kubwa sana nchini, wangeweza kulima vyema sana mazao mengi sana wakapata chakula kizuri sana na hata kuilisha nchi, huku wakiwa treated well tu bila sahida.Kifungo ni adhabu ambayo teyari ni mateso tosha already