@DrCyrilo@ACTwazalendo Leo nilikua mahali flani nikaangalia kampeni za mgombea ubunge pamoja na mgombea udiwani, nisemetu kua ACT bn HAWAKUBALIKI KABISA KABISA.
Nyomi lao hawafiki watu 10. Hii naweza Apia kabisa
FREE JOHN HECHE NOWโฆ!!
Kama nchi imewashinda kuiongoza kwa HAKIna KATIBA, semeni tujue mojaโฆ Ila sio kwa INCOMPETENCE na UONEVU huu wa Raia ambao sio tu wana exercise haki zao bali mnapaswa kuwalinda!
Tujuzeni kama tunaongozwa na utawala wa KIIMLA au kama Tanzania ni POLICE STATE!!
Serikali na Vyombo vya Usalama ndio chanzo cha kuleta Taharuki nchini alafu ndio wa kwanza kuhubiri kuhusu AMANI (wakati msingi wa Amani ni HAKI). Wananchi hawapewi taarifa kwa wakati, Wananchi wanatekwa, hakuna usalama wa Wananchi na Mali zaoโฆ Wananchi wanauwawa, na hakuna ufuatiliaji, mrejesho, wala matokeo ya hitimisho!! Na Viongozi wa Upinzni wanawekewa zengwe na Usumbufu usio na kichwa wala miguuโฆ
#FreeHECHE #Now