#mufc have arranged a private jet for Mauricio Pochettino to fly directly to England on Wednesday morning after finishing his duties as USMNT head coach.
This will allow Pochettino to get some sleep during the flight before landing in the UK, ready to head straight to Carrington and begin work [@ChrisWheelerDM]
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29.
TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Serikali ya Tanzania kuacha kupuuza wasiwasi wa kimataifa kuhusu masuala ya haki za binadamu na badala yake ijibu madai ya msingi yanayohusu mwenendo wa kesi iliyomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, aliyehukumiwa kifungo cha miaka minne jela.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, kupitia taarifa iliyotolewa leo Novemba 13, 2026, akijibu taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Novemba 12, mwaka huu, iliyojibu wasiwasi wa Serikali ya Uingereza kuhusu hukumu ya Lissu.
Rupia amesema majibu ya Serikali yaliyotegemea hoja za uhuru wa mahakama, mamlaka ya nchi na kutokuingilia masuala ya ndani hayajajibu hoja za msingi za kisheria na haki za binadamu zinazohusu kesi hiyo, akisisitiza kuwa uhuru wa mahakama si kinga dhidi ya kuchunguzwa kwa madai ya ukiukwaji wa haki.
Katika taarifa hiyo, CHADEMA imeibua maswali kuhusu kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa Lissu kwa siku 577, haki yake ya kuwasiliana na mawakili, pamoja na fursa ya kuwasilisha utetezi dhidi ya kosa la uchochezi alilotiwa hatiani baada ya Mahakama Kuu kumfutia shtaka la uhaini.
Pia, chama hicho kimeeleza wasiwasi kuhusu kukatishwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya kesi, vizuizi kwa waangalizi huru na namna waangalizi wa kimataifa walivyotendewa, kikisema masuala hayo yanagusa haki ya kusikilizwa kwa usawa na yanahitaji majibu ya kina kutoka serikalini.
CHADEMA imesema wasiwasi huo haujatolewa na Uingereza pekee, bali pia Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi kuhusu Ukamataji wa Kiholela, Amnesty International, FIDH, LHRC na Human Rights Watch, ambazo zimeeleza wasiwasi kuhusu vipengele mbalimbali vya kesi na kutiwa hatiani kwa Lissu.
Kutokana na hali hiyo, CHADEMA imeitaka Serikali kujibu madai hayo badala ya kuyaona kama kuingiliwa kwa mambo ya ndani, huku ikiitaka Mahakama kuhakikisha mchakato wa rufaa ya Lissu unakuwa huru na wa haki. Pia imetoa wito wa kukomeshwa kwa matumizi ya mashtaka ya jinai dhidi ya wapinzani wa kisiasa na kuanzishwa kwa mazungumzo ya kitaifa kuhusu changamoto za demokrasia nchini.
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya…….
Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
"There’s not too many opportunities that can happen in your career the size of Manchester United, and when that happens, it’s difficult to turn down.
"It’s a really tough decision, but at the same time we are excited for that step."
💬 Mauricio Pochettino, speaking at today's @USMNT press conference.
HABARI:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimehoji kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wake wawili, Grace Shio na Fadhili Benedict Mbeya, kikisema hatua hiyo inazua maswali kuhusu uzingatiaji wa Katiba, sheria na haki za msingi za raia.
Katika taarifa iliyotolewa Novemba 13, 2026, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Brenda Rupia, CHADEMA imesema maombi ya kisheria yanayohusu kushikiliwa kwa viongozi hao yalitajwa Novemba 12 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, shauri la Shio lilitajwa mbele ya Jaji Salma Maghimbi, ambapo mawakili waliomba mahakama iliagize Jeshi la Polisi kueleza sababu za kuendelea kumshikilia bila kumfikisha mahakamani wala kumpatia dhamana tangu Oktoba 22, 2026. Maombi yanayomhusu Mbeya, ambaye chama hicho kimesema anashikiliwa tangu Oktoba 10, 2026, yalitajwa mbele ya Jaji Awamu Mbagwa.
CHADEMA imesema haikubaliani na mwenendo wa kuwashikilia viongozi na wanachama wake kwa muda mrefu bila kuwafikisha mahakamani. Pia imedai kuwa, wakati mawakili wake wakiendelea kupambana mahakamani kutetea haki za viongozi hao, polisi wanaendelea kuwatafuta na kuwakamata viongozi wengine wa chama hicho katika maeneo mbalimbali nchini.
“Tunataka majibu. Ni sheria gani inayoruhusu mtu kushikiliwa kwa siku nyingi bila kufikishwa mahakamani? Kwa nini haki ya mtu kupata msaada wa kisheria na kuwasiliana na familia yake inakiukwa?” chama hicho kimehoji katika taarifa yake.
Chama hicho kimelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba na sheria, kuacha ukamataji holela na kuheshimu haki za kila raia bila kujali msimamo wake wa kisiasa.
Official: Patrick Dorgu is returning to #mufc from the Denmark camp after a series of tests concluded he needed more time to recover from his hamstring injury [@dbulandshold]
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Kenya limepiga marufuku wanasiasa kutoa hotuba za kisiasa ndani ya makanisa ya Katoliki nchini humo, hatua inayolenga kulinda heshima na utakatifu wa nyumba za ibada kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
Katika tamko lao, maaskofu wameelekeza kuwa hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kutumia ibada au mikusanyiko ya kanisa kutoa ujumbe wa kisiasa, kufanya kampeni au kujinadi kwa waumini.
Maelekezo hayo yanawahusu wanasiasa wote bila kujali nafasi zao serikalini, vyama vyao au nyadhifa wanazoshikilia, huku mapadri wakitakiwa kuhakikisha utekelezaji wake katika makanisa yao.
Aidha, maaskofu wameonya kuhusu matumizi ya lugha za chuki, matusi na kauli zinazochochea mgawanyiko wa kikabila, wakisisitiza umuhimu wa viongozi kuheshimu umoja na amani nchini Kenya.
Katika ujumbe wao, wamewahimiza Wakenya kutokubali kushawishiwa na rushwa au zawadi za fedha wakati wa kufanya maamuzi ya kisiasa, badala yake kuzingatia uadilifu na uwajibikaji wa viongozi.
Hatua hiyo imekuja wakati Kenya ikielekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, ambapo shughuli za kisiasa zimeanza kushika kasi na viongozi mbalimbali kuendelea kutafuta uungwaji mkono wa wananchi.
🚨 Mauricio Pochettino to become Manchester United boss on 2.5yr contract. Deal until summer 2029 + 54yo expected to lead #USMNT over int’l break & then arrive at #MUFC in time for Liverpool. Announcement as soon as Friday. W/ @AdamCrafton_@TheAthleticFC https://t.co/7BwWN81Epk
US Soccer are plotting an ambitious move for Pep Guardiola to replace Mauricio Pochettino, as first called by @tombogert, @PaulTenorio and @HenryBushnell.
Guardiola is the dream target and talks are expected to accelerate in the coming weeks.
Also understand Roberto Martinez is open to the role if approached.
Coaching at Los Angeles 2028 not something the USMNT can use to lure a big name as Steve Cherundolo already has that role.🇺🇸
🤝 @alex_crook