Rais William Ruto pamoja na Baraza lake wameamua kuacha kuchukua Mshahara wao kwa Mwezi Mmoja ili kuonesha mshikamano na Wananchi ambao wameathirika kwa Ukame. Una lipi la kusema kuhusu hili?
Kuanzia leo ataitwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. UDSM wanasema wamempa Ph.D ya heshima kutokana na juhudi zake za kukuza uchumi wa Tanzania na kuwawezesha wananchi kukua kiuchumi
SSH anapewa Ph.D kwa kuimarisha uchumi wakati hata bajeti yake kama Rais hajafika nusu mwaka. Ni HUZUNI
Unaweza ukawalaum Wananchi kwamba hawana Uelewa, kumbe tatizo liko kwa viongozi wa juu,wako bize kutengeneza propaganda za kijinga ili waonekane wanakubarika๐๐
Wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.
Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.
@MariaSTsehai CCM walishatusoma Watanzania wengi hatuko serious, Ni watu wakupotezea. Yaani CCM wanao ujasiri wa kutenda maovu hadharani then wanakuja kutafta huruma baadae wakijua watu washasahau. Ipo mifano mingi,Makonda kaumiza wengi na yuko mtaani anatamba. Si msangai Bashiru
Kuwahurumia CCM ni kupoteza muda, Siasa sio Uadui lakini ifike mahara tuheshimu misimamo yetu. Hawa vijana wa CCM kila uchao tunawaona wanajigamba kuhusika na kuua,kuumiza wapinzani pamoja na kutumika kuvuruga mikutano.Hiyo huruma inatoka wapi? Wenye hela zisizo na kazi changeni
Kumnusuru huyu kwenda Jela miaka 7 ni Millioni 15 tuh
Natamani BAVICHA chini ya @John_Pambalu na @Twaha_Mwaipaya wachangishe faini ya huyu Kijana tumlipie hqraka sana.
Akitoka nje atagundua kwanini tunadai katiba Mpya
Hakuna aliye salama chini ya Katiba hii na sheria hizi
Sasa waziri ndiyo analeta mvua? Hili jamaa ni lijinga sana yaani. Hivi huyu alikuwaje mwalimu? Alikiwaje mbunge? Kama huyu ni cream ya watu huko kwao basi walio chini ni disaster kabisa
Level ya ujinga ya Heche ni ya kupitiliza kabisa khaaa
Watumishi wa serikali wote hukatwa pesa ya bima mika yao yote ya Utumishi mpaka wanapofkia kustaafu. Hii ya kukata tena 5% ya pesa za mafao kwa wastaafu huh ni wizi serikali inafanya.
Kwann WABUNGE NA MAWAZIRI wenye mishra mikubwa hawakatwi pesa za Bima?
Wastaafu wote kukatwa asilimia 5 ya pension zao kuelekezwa kwenye Bima ya Afya Kwa lazima Hii ni Kwa mujibu wa sheria ili kufidia uhaba wa pesa kwenye idara ya afya @ummymwalimu
@SuluhuSamia alisema pesa za Tozo zimetumika kujenga madarasa nchi nzima๐, Aje atuambie kwanini hii Shule haina madarasa?
CCM Ni majizi,namna pekee ya kuliokoa taifa ni kuiondoa CCM madarakani
@HecheJohn Polis ni genge la waporaji na wauaji waliojificha kwenye mwamvuli wa kulinda usalama wa Raia na Mali zao๐.Tukatae uhuni,tupambane kuitafta haki
Tunajua hii inafanywa ili kuokoa biashara zao za majenereta na Sola zilizokaa madukani kwa muda mrefu๐.Makamba ni Mwizi na Fisadi aliyekuwa anaiwinda hii wizara kwa muda mrefu akishirikiana na Kikwete na Vigogo wengine.Tunajua michezo michafu inayoendelea
MIKOA 17 KUKOSA UMEME OKTOBA 9 NA 10, 2022
Mikoa hiyo ni Dar, Pwani, Tanga, Arusha, Morogoro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Mara, Simiyu, #Kilimanjaro, Manyara na Songwe
Sababu ni kuzimwa kwa laini 2 kubwa za Umeme
Soma https://t.co/jIN1repOFc
Nonsense, ukaguzi wa nn kama CAG kila mwaka anawataja majizi na bado hawachukuliwi hatua? Mwigulu ofisi yake inatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha za serikali nani kamchukulia hatua?
#HABARI Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. @mwigulunchemba1 amewataka wakaguzi wa ndani kufanya kazi zao bila kupepesa macho kwa kufichua upotevu wote wa fedha za umma kwa kuwa serikali ipo na itawalinda ili kuhakikisha fedha za umma zinatumiwa vizuri kama zilivyopangwa
@HecheJohn ni Hazina nyingine kwa Taifa letu, Heche ni mfano wa kuigwa kwa vijana wote walio na ndoto za kuwa viongozi ama wanasiasa wa kweli.@HecheJohn mungu akuweke sana bro
Kozi inaanza October 10 - waliopitishwa na kuchaguliwa kuanza mafunzo maalum watapewa taarifa leo
Ambao wamekosa nafasi wasiwe na shaka tutakuwa na kozi nyingine mwakani!
#WenyeNchiWananchi
Tunajiandaa na mikakati na kujipanga haswa!
RESIST ๐๐ฝ