@YoungAfricansSC@CRDBBankPlc tutafute mchezaji wa kuvunjiwa mkataba bc viongoz wetu sio kila siku waliomaliza mkataba mtaka tuwe wa wa 3;msimu unaofata . fedha ipo tumien sio hawa free agent
@millardayo mainjinia wa lea wawe wanawalipa wale wanaofanya nao kaz. .
mfanyakaz anafamilia anakaa mwezi polin alafu pesa hapewi anavoondoka zinaanza kalenda matokeo ndio hayo.
@nyuki_malkia watu wadar wanatufelisha kinoma kwamba huo mchongo unapita barabaran na watu wanauangalia . kwan dar hakuna kona za mkoa au mitaro mikubwa.