It's Monday again 3:12
Moja ya kitu nilichojifunza leo kama unaongea na mtu anakuambia vitu hauvielewi na mda mwingine unadhani kachanganyikiwa au anakuambia vitu ambavyo unavielewa na ulikua huvijui kwa wakati huo mjibu majibu haya
SAHIHI KABISA,UKO SAHIHI KABISA,SAHIHI