Ni LEO.
Kuna madogo wa CHADEMA wa vyuo vikuu napendaga sana kuwasikiliza wana uwezo mkubwa sana wa kujenga HOJA.
Leo nitakuwa makini nafuatilia tukio hili-uzuri linaanza mapema tuu. Usikose mwanetu.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
"Chadema, chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupambaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania." Mhe. @HecheJohn