"P0rn exposure affected me in a way that I couldn't relate with people. I got exposed to porn0graphy as a teenager through reading novels" - Lady reveals
Just in: U.S based man flies down home gathers all his Girlfriends family and friends for an Engagement Party then exposes all his Fiancée’s infidelity with Both Single and Married men at the surprise engagement
Hii story ipo hivi😂
Mkali alikuwa anampatia pesa mama yake ili akapatiwe.
Matibabu hospitalini.
Kumbe bi mkubwa anachukua pesa anampa mchungaji amuombee.
Sasa mkali anaona mbona Bi mkubwa hapon.
Ile kufatilia akajua pesa anapewa mzee wa kanisa.
Oyaa 😂 ilikuwa noma sana
This gentleman, who is living with kidney disease, has taken the time to talk extensively about the kidneys and how to keep them healthy. Kindly listen to him and share.
Jonathan Majors delivers the devastating truth:
“There are three ways Islam will conquer the West: through immigration, through the wombs of our women, and by using our own Western freedoms against us.”
Then he goes on and REALLY lays it out:
“Islam is not consistent with the fundamentals of Western values…Their ultimate goal, their greatest goal, is jihad.”
Run Hide Fight: Infidels. Sept 16.
Bwana mmoja akaomba atafutiwe profesa awe afundisha na kutoa unasihi kwa
Watoto wake kipindi cha likizo. Nikamuuliza “ni lazima Mwalimu huyo awe profesa”?. Kisha akatoa majibu yenye hoja nzito na kusema “Pesa sio tatizo”! Hadhithi ni ndefu, lakini kwa ufupi alitaka kupandikiza tunu fulani kwa watoto wake; alitaka wakutane na wasomi, wahandisi na madaktari bingwa wangali wadogo. Lakini alitaka pia kuwapa ujumbe kuwa yeye (baba) hakusoma sana Lakini ameweza kuwalipa wasomi waje nyumbani kuwafundisha watoto wake. Aidha, alitaka watoto wake wapate hisia kuwa maprofesa nao waliwahi kuwa watoto, na kwamba ni watu wakawaida kabisa. Jinsi programu ile ilivyowajenga watoto wake ni hadhi nyingine; Lakini Hadithi Nzima ikazaa wazo moja kubwa; ambalo ni utafiti kuhusu uwezo wa watoto kumudu mahiri za sayansi na hisabati zilizo juu ya umri wao. Ikabainika kuwa kumbe hata watoto wenye umri wa chini kabisa wanaweza kufikiri na kuenenda kama wanasayansi, ikiwa watapewa mazingira sahihi hususani ni mazoezi yanayohusisha mahiri mbalimbali.