ุญูุณุจูููุง ุงูููููู ููููุนู ู ุงููููููู.
Muslim, Father, Son., Businessman, leader. Ex banker, Learner in life.
Thoughts of my own.
@SuluhuSamia ๐ Kutokana na Dar es Salaam kuwa na zaidi ya asilimia 10% ya watanzania hili litasaidia kupunguza matumizi ya pesa za kigeni kwenye nishati kwa karibu ya asilimia hiyo .
#kazinautu
@SuluhuSamia Na magari yote ya serikali ambayo yanatumika katika mji wa Dar es Salaam ambapo teyari kuna miundombinu kadhaa ya vituo vya gesi asili waanze kutumia gesi asilia .
Hii itasaidia
๐ Kupunguza gharama za maisha
๐ Kukua kwa matumizi ya gesi asilia ambayo Mungu ametubaliki
@AbroadTanzania Dah cheo alichokuwa nacho Larijani haukijui Na aliyekuwa kiongozi mkuu wa Iran hamjui ila kuandika ni rahisi kwasababu unaamini watu wote ni kama wewe .