Kuna watu wanaweza kukuomba pesa ukidhani Wana shida ukachomoa kwenye SAVINGS zako kuwasaidia Kumbe wao hawajagusa kwenye SAVINGS zao kutatua hiyo shida. Haya Maisha usipokuwa mgumu unatumika sana
CONSISTENCY
Hawa sio wakamaria tena hawa ni wafanya biashara wa kamari. Yaani kama ilivo biashara ya mafuta, biashara za vipuli, biashara za magari, biashara za nafaka basi hawa wamejikita kwenye biashara ya kamari. Maisha yao ni kamari 24/7 na mitaa inanufaika bure kabisa.
Religion was designed to keep you in a slave mindset⛓️
Obedience over understanding.
Belief over knowing.
It’s all a mental game 🧠
And awakening is stepping outside the rules.✨
Learn what was never meant to be taught ⬇️
📘 https://t.co/Eejx2Qd2LT
Nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku na kulialia.
Lakini kumbe kitunguu saumu ni kinga hatari kwa mambo ya kishirikina na viumbe roho wabaya.
Kitunguu saumu kwa jina la kitaalam Allium sativum sio kiboko ya wachawi tu, bali pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata wadudu waharibifu.
Hiki kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani.
Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa kinga watoto wao.
Sehemu za China Malaysia n.k, wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya nguvu za giza.
Kule Romania wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao, mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe wakiamini nguvu ya kitunguu saumu kwenye Kufukuza wachawi na viumbe roho wabaya.
Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni, na hii pia ni kinga hata ya kuzuia roho yake isiweze kurudi mwilini.
Huo ulikuwa ni upande wa giza, lakini unapokuja kwenye afya ya kawaida ya mwili kitunguu saumu huongeza kinga mwilini.
Anyone else notice how time doesn’t feel normal anymore? Days vanish and weeks blur together. Everything’s so much faster. Something’s off.
Are you noticing it too?