@Narrowbeeflying Hapo sawa kweli katapeliwa huyo. Jitahidi kumuelimisha hakuna biashara ya mtaji milioni mbili upate milioni 3 faida. Ataibiwa sana sana.
@zed_officially@Adventure_36 Poleni sana, uangalie labda ni maambukizi tu magonjwa ya kawaida. Lakini ikishindaka muende mkaombewe maana si kila aombaye atapata uponyaji. Wapo Mungu aliowapa hiyo karama.
@kibaha_finest Angalia ndugu yangu, hayo mambo ya uzinzi na uasherati yatakuja kukuletea shida ya kwenye ubongo wako. Hii inaonekana watanzania wengi ni jobless!! Au hutukui akili pamoja na ufahamu.
Kama ulipitwa na kesi ya LISSU jana basi @iswahilinews wamekuwekea simulizi yote kwa njia ya SAUTI.
Hii nzuri sana kwa ambao wanakuwa bize hawana muda wa kusoma, tenga dakika zako 45 sikiliza mwanzo mpaka mwisho ilivyokuwa jana.
REPOST 200