Watu wazima wawili wanaingia kwa mahusiano wanapendana ila mmoja hapo anatakiwa awe anatuma ela kwa mwingine kuonyesha upendo wake. Mwingine anatakiwa awe anamkera mwenzake.
@Innocen89950594 Mambo ya kawaida sana, nina mwanangu saivi 24yrs ana tandam 4 na mashamba 6 ya tangawizi hapo bado Dar ananyumba 3 kazifanya Appartment na bado akiba yake ndogo ya mkononi ni 5m popote pale unapomkuta. Maisha ni mapambano wala tusiamini ujinga ambao utatufanya tubweteke.
Mdogo wako akasome DIPLOMA.
Diploma in Clinical Medicine
Diploma in Civil Engineering
Diploma in Computer Engineering
Diploma in Electrical Engineering
Diploma in Laboratory Technology
Kwenda Advance ni Kupoteza MUDA.