Katika kipindi cha Uongozi wa awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, zaidi ya Bilioni 200 zimetolewa kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma.
#kamusihalisi#kamusiyamaendeleo
💚💚💚💚💚💚💚💚
*WANANCHI KUTOKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA, TUNAKUKARIBISHA SANA MWENYEKITI WA CCM TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHILIKI KATIKA SIKUKUU HII YA KRISMAS NA MWAKA MPYA KWA PAMOJA*
@SuluhuSamia@SafariyaCcm
*#KaribuSanaMwenyekiti*
*#WananchiTunakupendaSana*
*#2025NiMwakaWako*
*#SafariYaMaendeleo*