@CoolestDudeOnX@aairyss1@Sisimizi3 Ni ajabu sana watu hata 10 hawafiki Kudanganya watu zaidi ya m10 kuandamana alafu watu Mil30 wakashindwa kuwadanganya kwa kuwaambia wasiandamane😂🙌
@kayange@CoolestDudeOnX@Sisimizi3 Kwaiyo Hao watu wote walio uwawa majumbani ni waliuliwa na wahuni😊 Hao wahuni walishakamatwa sasa? Au na wao waliuliwa?kwaiyo wahuni hao walijigawa wengine kazi yao ilikuwa kuua watu majumbani😊👏
Wachambuzi mnachekesha sana Mnajua kuchambua picha za Netanyahu wale jamaa walitembeza mtutu mtaani October 29 live mmeshindwa kuwatambua. Mmerogwa komaeni na yetu msaidie taifa letu wakuu!
@eliehson@PiCoreTeam Wait for the second migration for it to become active. It’s like that because the wallet has never received Pi before. The one that is active is the one that received Pi first. So this new wallet needs to receive Pi to become active, or you can buy Onramp if possible.
@SharonMontana20 Activism peke yake inaweza kuamsha mabadiliko kwa kuelimisha,Kushinikiza uwajibikaki lakini ili kuyafanya yadumu mara nyingi inahitaji pia nguvu ya kisiasa hata kuunda chama kipya Kama itawezekana