@samatimemagari Sasa shida yake nini mtaani mbona watu wengi wanaziogopa mkuu? hii unanunua Leo ukiuza ndani ya wiki bei inaombwa nusu uliyonunulia! je nini changamoto zake?
Earlier today in Oyster Bay, Dar es Salaam, Joshua Maponga and I addressed a press conference concerning yesterday's Tanzania premiere of 'What Happened On October 29'.
Our message to the African press was simple - learn to be unapologetic about pursuing your African interests like everyone else is about theirs so, and stop eating out of the hands of CNN, BBC, DW, Al-Jazeera and their many friends across the western media landscape.
They are not your friends, their interests do not match with yours, they are not better journalists than you are, and they can never be better at telling your own story than you are!
Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa CCM aliyasema hayo kwenye mahojiano Maalum na Gazeti la Mwananchi.
Nini maoni yako Mdau?
Fuatilia zaidi: https://t.co/8sJS95LT9w
#JamiiForums#Siasa
Mr. @DavidHundeyin they are attacking you and a documentary they are yet to see in full because of one simple reason.
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people."
The pro-western/anti-Africa activists pool will criticize and attack any documentary that is not sponsored by their donors because they are scared the truth will be exposed.
These activists do not want an unbiased documentary. They are not interested in the truth. They want media pieces in their favour.
When you have rattler these commercial activists you know you are doing something right.
Go David, Go ✊🏾
The premiere of a brand new documentary “What Happened On October 29” by @DavidHundeyin and the team @Spearhead_Af will be live in Accra (May 26), Tanzania (May 29) and Nairobi (May 31). If you are in any of these cities and desire to attend, an exclusive FREE ticket could be yours. All you have to do is comment and tag @joyfwen.
The docu is on what really happened during Tanzania’s last election.
Mwenye Majibu Ya Maswali Ya Mwandambo Atupe.
Kama kuna mtanzania bado hajaamka kwenye hizi false flag operation basi atakuwa mbumbumbu kama Bongozozo, maana kama Mwandambo amechoka, wewe ni nani unaendelea kuwa zwazwa usieelewa kwamba kuna kitu kinapikwa ili kukaribisha machafuko makubwa zaidi ya yale yaliyopita!?
Picha linaanza, Muhadhiri anasema kama serikali itaacha kudhibiti waleta machafuko, wasishangae watu wakakatana vichwa mitaani (yaani upande mmoja wa wataka machafuko na upande mwingine wa wazalendo wanaolinda amani ya nchi).
Wahuni wakatumia hiyo kauli wakamuua mtu wakamkata na kichwa ili iendane na kauli ya mhadhiri
Kelele za kupinga utekaji na kudai haki zilizozidi, matukio ya utekaji ndio yanachachamaa, maana yake wafanyaji ni wale wale walalamikaji. Huwezi kushutumiwa unaiba kuku wa jirani halafu kila siku unaendelea kuiba! Huo ni uongo, haiwezekani serikali ndio ishutumiwe halafu iendelee kuwa inafanya matukio hayo hayo inayoshutumiwa tena kwa watu ambao hawana impact wala influence yeyote!
Kinachoendelea nchini ni false flag operation (opereseheni ya matukio bandia) inayolenga kupanikisha kundi la vijana wajinga wasio na uwezo wa kufikiri na kuwaingiza barabarani wakate ili wao wapate la kusemea, yaani vifo vyao wavitumie kama mtaji wa kuziomba taasisi za kimataifa ziingilie kati, zimpressurize Rais kwa kumtishia ICC ili alegeze msimamo wake akubaliane na matakwa ya VATICAN ambao ndio wawakilishi wa Mabepari hapa nchni.
Hatutoacha kuwaambia, hakuna taasisi hatari na ya kishetani kama Vatican, Italy, wewe kama sio Mtaliano usichukie, wewe ni Mtanzania, wataliano ni mabepari ila wapo kwa mlango wa imani.
SASA MJIBUNI MWANDAMBO
(✍🏻 na mchambuzi wetu)
TANZANIA TUNA WANAHARAKATI WAPUMBAVU SANA NA WAJINGA KUPITILIZA..
KWANZA tuelewane kuwa harakati siyo ajira na wala harakati haziwezi kugeuzwa kuwa ni jambo la kupatia watu kipato na kujikimu kimaisha.. harakati ni wito wa kutumikia na kupigani jambo fulani ambalo unaamini haliko sawa na linatakiwa kuwa sawa na mamlaka ina wajibu wa kufanya sawa kwa wananchi waliowaweka kwenye mamlaka
HARAKATI zinapogeuka kuwa ni ajira na kazi ya kujikimu kimaisha ndip sasa kunapotokea matatizo makubwa sana kwenye jamii na kwenye nchi kama ambavyo tunaona sasa kwa Tanzania
NI UJINGA wa hali ya juu sana kuzikubali tume za Jaji Nyalali ,Tume ya Jaji Kipenka na nyingine nyingi na huwa mnaziimba sana kwenye porojo zenu za kisiasa lakini leo mlivyokosa akili mnahoji uhalali wa tume ya Jaji Chande
SHIDA yenu kubwa ni kuwa hamsomi na mnatumia mwanya huo kudanganya watu wanaowaona mnawapigania wakati ukweli ni kuwa hakuna mnachowapigania zaidi ya kuweka michongo ya kuvuta grants kwa lengo la kujikimu kimaisha kupitia harakati zenu uchwara na kulipia apartment hapo Kileleshwa na Kilimani
TUME YA JAJI CHANDE kama zilivyo tume nyingine imeundwa kwa mujibu wa sheria za tume za uchunguzi ,sura ya 32( The Commissions Inquiry Act,Cap 32) . Sheria hii ndiyo iliunda tume za uchunguzi zote mnazozisifia sana ikiwemo ya Jajai Nyalali.
Wanaharakati wetu uchwara wameshau kuwa Mary Mwakitwange ambaye ni mwanaharakati mwenzao alifungua kesi kuipinga tume ya Jaji Chande na kusema Rais hana mamlaka ya kuunda tume hii kwenye kesi namba 32537/2025 na kesi hiyo ilitupiliwa mbali vibaya sana tarehe 13/03/2026 baada ya mahakama kujiridhisha kuwa Rais ana mamlaka hayo na tume iko kihalali
Wanaharakati hawa uchwara wanasahau kuwa Tanzani haijaanza kuunda tume za hivi leo wamesahau tume ya Zombe(2006) iliyoundwa na Kikwete baada ya Zombe na wenzake kuuwa watu kule Sinza na kukwapua mihela yao na kusema walikuwa majambazi. Tume ya TOKOMEZA (2014) ambayo matokeo yake yalikwenda na msururu wa mawaziri zaidi ya 5 na tume ya uchunguzi wa mauaji baad aya uchaguzi kule Zanzibar (2001)
Tume ya Jaji Chande ilifanya kazi yake kwa maelekezo iliyoyapata kwenye TORs/Hadidu Za Rejea na imekamilisha kazi yake na kusema kile ambacho kimeonekana na kugundulika na tume..
LAKINI sasa wanaharakati wanalazimisha tume iandike mambo yao. Wanataka tume iandike kuwa kuna makaburi ya halaiki kwa Kondo kama alivyosema Papai Larry ma CNN FAKE NEWS. Yaani pale kwa Kondo pamezungukwa na makazi ya watu panawezaje kwenda kufanywa makaburi ya halaiki? Tulikuwa tunawaambia kuwa wanaharakati hawa hawana akili hamkuwa mnasikia na tukawaambia watu kama Larry ni watu wa hovyo sana na wanatumika hamkuwa mnaelewa!
Tuliwaambia watu wamelipwa na kupewa mafunzo ya kufanya vurugu hizi lakini wengi mkawa vichwa ngumu kuelewa mkawa mnadanganywa kuwa JWTZ wako na ninyi wanachotaka ni nyinyi kuingia tu barabarani na kuchoma moto vituo vya mafuta wao wanachukua nchi na kupindua serikali.
Kama watu wamejitokeza mbele ya tume a kukiri waliahidiwa kulipwa na walipewa mpaka simu kwa ajili ya kupiga picha na matukio na kuyatuma kwa Maria ! Kuna ushahidi gani zaidi ya huu mnautaka ?
Watu walifunzwa na kupewa mbinu na mikakati ya jinsi ya kufanya vurugu zile na ushahidi uko wazi juu ya hilo .. Nani aliwafadhili nani aliwapa mafunzo wote tunajua na tulishasema uhusika wa wanaharakati na CHADEMA kwenye haya mambo ndiyo maana tumekuwa tunasema walipokuwa wanasema uchaguzi hautafanyika walikuwa wanajua wanachokifanya na waliwezeshwa kufanya hivyo.
NITASHANGAA sana kama CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha siasa na kitaruhusiwa kufanya siasa kwa sababu kimevuka kuwa na sifa za chama cha siasa na sasa ni chama cha kufanya ugaidi na kimefanya ugaidi kweli kweli..
HATUWEZI kukalia kimya UHALIFU ule uliofanywa kwa kigezo cha maandamano tena siku ya uchaguzi mkuu na waliokuwa wanafanya waliyoyaita maandamano wakiwa na silaha mpaka bunduki na kusababisha uhalifu wa kiwango kile.
#KigogoMediaUpdates
#TajiriLaKihaya
Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!
Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi…
Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!
Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk…
Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee…
Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-
Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi…
Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!
Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…
Kama kweli mngekuwa na hio NIA…
Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…
Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…
Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.
UCHUMI usimame…
Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI…
Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM…
Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI…
Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI…
Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Anko Nshala tumeshakuambia mara kadhaa kuwa kutokana na hadhi yako kama mwanasheria na mwanasheria mkuu wa chama cha siasa kuwa upunguze kuchat ukiwa umelewa. Ndio maana juzi kati hapa ukashangaza umma kwa kutumia neno "ufiraji" japo haishangazi kwa vile chama unachoshauri kisheria kwa sasa ina uongozi unaotetea mambo ya 🌈🏳️🌈.
Anyway twende kwenye hoja sasa...
Hoja ulizozitoa zinaibua maswali mazito, lakini ukiziangalia kwa jicho la kisheria ndani ya mfumo wa sheria za Tanzania na misingi ya utawala wa sheria, hitimisho la kusema Tume ni “batili tangu mwanzo” halisimami kirahisi. Hapa chini ni rebuttal ya kisheria na kiuchambuzi:
1. Uhalali wa kuunda TumeKwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act, Cap. 32), Rais ana mamlaka ya kikatiba kuunda Tume kuchunguza jambo lolote la maslahi ya umma. Hii ni sehemu ya madaraka ya kiutendaji chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977.
👉 Hivyo, hoja kwamba Tume ni batili kwa sababu imeundwa na Rais haiwezi kusimama kisheria—ndiyo mamlaka halali ya kisheria.
2. Hoja ya “mtuhumiwa namba moja”Kisheria, tuhuma hazithibitishwi kwa kauli za kisiasa au mitazamo ya upande mmoja. Hakuna chombo cha kisheria (mahakama au tume huru iliyokwishatoa uamuzi) kilichomthibitisha Rais kutoa amri ya mauaji.
👉 Katika sheria, presumption of legality na presumption of innocence zinatumika hadi ithibitishwe vinginevyo.
3. Matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji. Sheria za Tanzania (ikiwemo Police Force and Auxiliary Services Act) zinatoa mamlaka kwa vyombo vya dola kutumia nguvu kwa kiwango kinacholingana na tishio (reasonable force).
👉 Swali la kama nguvu ilikuwa “excessive” ndilo hasa litatolewa jibu na Tume—haliwezi kuwa sababu ya kubatilisha Tume yenyewe.
4. Amri ya zuio la kutembea (curfew). Mara nyingi hatua kama hizi hutafsiriwa chini ya mamlaka ya usalama wa taifa na dharura za kiusalama.
👉 Hata kama kungekuwa na dosari, hilo ni suala la kisheria linaloweza kuchunguzwa—si sababu ya kubatilisha Tume.
5. Kuzimwa kwa intaneti
Hakuna sheria moja inayosema wazi “hairuhusiwi kabisa” kuzima intaneti katika mazingira ya kiusalama. Nchi nyingi hutumia mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano (kama TCRA) chini ya sheria zilizopo.
👉 Uhalali wake unaweza kujadiliwa, lakini hauondoi uhalali wa Tume.
6. Mchakato wa uchaguzi
Hoja kuhusu Tume ya Uchaguzi ni tofauti na Tume ya Uchunguzi. Hizi ni taasisi mbili tofauti kisheria. Katiba inaweka wazi kuwa Uchaguzi lazima ufanyike kila baada ya miaka mitano na hakuna mamlaka inaweza kusitisha au kusogeza mbele mchakato huo.
👉 Hata kama kuna malalamiko kuhusu uchaguzi, hayabatilishi moja kwa moja Tume ya uchunguzi.
7. Mgongano wa maslahi (conflict of interest)
Kuwepo kwa aliyewahi kuwa Waziri ndani ya Tume si uthibitisho wa moja kwa moja wa mgongano wa kimaslahi kisheria.
👉 Lazima ithibitishwe kuwa ana direct personal interest au alihusika moja kwa moja katika tukio linalochunguzwa. Vinginevyo, ni hoja ya kisiasa zaidi kuliko ya kisheria.
8. Kanuni ya “Nemo judex in causa sua”Kanuni hii inatumika pale ambapo mhusika ndiye anayetoa uamuzi juu ya kesi inayomhusu binafsi.
👉 Tume si mahakama, na wajumbe wake hawahukumu kesi zao binafsi bali wanachunguza na kutoa mapendekezo. Hivyo matumizi ya kanuni hii hapa si sahihi hata kidogo.
9. Kauli za kisiasa za Rais
Kauli za awali za kiongozi haziibatilishi Tume kisheria. Na Rais kusema yeye ni Amiri Jeshi Mkuu si tishio ni fact.
Ila kumbuka kua mteja wako na mwenyekiti wa chama chako alitoa kauli hii hadharani huko anarekodiwa:
"Wanasema hivi. Msimamo huu unaashiria uasi. Ni kweli! Ni kweli!!! Kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi. Tuta hamasisha? Uasi!"- Tundu Lissu
Hongereni maana kweli mlihamasisha uasi kwa miezi kadhaa na matokeo yake tuliyaona.
👉 Tume inaendeshwa kwa mujibu wa hadidu zake (terms of reference) na ushahidi unaokusanywa, si kauli za kisiasa.
10. Uwazi wa Tume
Tume nyingi duniani huchagua kiwango cha uwazi kulingana na unyeti wa ushahidi (hasa masuala ya usalama).
👉 Kutokuwepo kwa matangazo ya moja kwa moja si ushahidi wa ubatili, bali ni suala la utaratibu.
11. Mawasiliano ya Tume kwa ummaKutoa taarifa kwa umma ni sehemu ya kujenga uelewa, si lazima iwe “kampeni”.
👉 Hii haiwezi kutafsiriwa moja kwa moja kama nia mbaya kisheria.
CHADEMA NI KAMA FUTUHI..NA WAMEKOSA AIBU..📌
Kuwa chama cha siasa makini kunahitaji kuwa na tabia ya kufanya mambo serious na kuwa na mipango serious lakini CHADEMA kwa miaka zaidi ya 30 wamekuwa ni jokers/waigizaji.
Bahati mbaya zaidi miaka inavyozidi kwenda na wanavyozidi kubadilisha aina ya uongozi wa kikundi chao ndivyo wanavyozidi kuwa kichekesho.!
Hakuna chama cha siasa duniani kinaweza kushika dola na kufanya shughuli zake za kisiasa kwa kuwa ombaomba wa michango kila siku.
Unapokuwa na chama cha hivi ni dalili ya hatari sana kuja kuaminiwa kuchaguliwa kuongoza kwa kuwa hii ni dalili ya kukosa maarifa ya kuweza kujiendesha na kukosa mipango ya kujiwezesha kuwa na uwezo wa kujiendesha.
Haiwezekani chama cha siasa kila siku wao ni kuomba hela tu kwa watanzania huku wakijitapa kuwa wana wanachama zaidi ya milioni 10! Kama mna wanachama zaidi ya mikioni 10 na wanalipa ada za uanachama kwani hizo hela mnapeleka wapi?
Hiki chama si kina wafadhi wengi tu nje ya nchi na ndani ya nchi kama ambavyo mmekuwa mnajitapa! Kwani wanapowapa hela huwa mnafanyia nini?
Toka tumeijua CHADEMA kila siku wao ni kutumia fursa za matatizo yao ya kujitakia kuomba hela kwa ajili ya kuendesha kikundi chao! Yaani kuombaomba hela imekuwa ni sera ya chama chao na ni sehemu ya mipango ya kujikimu kimaisha kwa viongozi wao wanapofanya shughuli za kupigapiga kelele majukwaani.
Hawa si walianzisha kampeni ya ToneTone na wakatoa mpaka matangazo yao ya harusi sijui yale chini ya usanii mahsusi kabisa wa mwanasanaa Lema kwani waliishia wapi na walikusanya shilingi ngapi?
CHADEMA kimekuwa chama cha ma slogan na michango kila kukicha na sasa hivi wanalaumu kuwa hawapati ruzuku. Kwani ruzuku mnapataje na uchaguzi mligoma kushiriki? Yaani mnapewa ruzuku za nini na mnajua hamkuwa sehemu ya uchaguzi na mligoma na mambo yenu ya no reform no election? Au mnajisahaulisha?
Hakuna chama kinaweza kufanya siasa na mambo ya maana kwa kutumia njia hii mnayoitumia na kuienda na mwisho wa siku mnaonekana ni jokers tu na wapiga kelele maana hamna mipango wala uwezo wa kujiendesha halafu mnadanganya watu eti mpewe dola!. How? Serikali hawapewi watu kufanya nayo majaribio ndiyo maana mlitakiwa kuongoza na kuonyesha uwezo kwenye chama chenu kwanza na siyo kudhani mnaweza kuongoza kwa majaribio!..
Nyie ni kikundi na jukwaa la wanaharakati waliokusanyika kufanya siasa za harakati na wala hamna uwezo wa kuongoza wala kushika dola. Ndiyo maana unamuona mtu kama Domo Kaya Heche anapayukapayuka na maneno ya sijui kupanda kwa mafuta mara sijui nini lakini hajui chochote kinachoendelea kuhusu mafuta duniani.
Yaani wao sera yao ni kulaumu kila kitu na kufanya harakati kwenye kila kitu na kila saa na kila siku. Yaani hizo kwao ni siasa. Unapokuwa na watu wa hivi kama viongozi wa vyama vya siasa wanatoa wapi uwezo wa kutafuta mbinu za kutafuta vyanzo vya hela kufanya siasa zaidi ya kuombaomba hela!
Hivi ni wapi duniani au hata eneo hili la Afrika Mashariki tumeona chama cha siasa kinaombaomba michango ili kujiendesha na baadaye kushika dola? CHADEMA wafike mahali wawaonee huruma nyumbu wao maana wanawatesa sana.
CHADEMA hawa ndiyo wanaosema watanzania ni maskini sana na hawana hela na wanailaumu CCM kwa hilo halafu hao hao wanawaomba maskini hao hao hela ambazo wanasema hawana wawachangie! Hivi hii ni akili?
Hawa akiwemo domo kaya Heche walilipiwa na watanzania faini ili watoke jela walipoyakanyaga wakati wa Kambale ! Yaani chama kilikosa 150m TZS kuwalipia faini. Yaaani wote walikiwa wabunge lakini waliishia kulialia kwa watanzania ili kupewa michango !
Chama cha siasa cha hivi huwa kina mchango mdogo sana kwenye taifa!.. na hatuwezi kuwa na chama kinajiita chama kikuu cha upinzani wakati hakuna mbunge hata mmoja wala diwani haya mmoja wala mwenyekiti wa kitongoji kikawa kinatumia chaka la michango na kuombaomba kama njia ya kufanya siasa!.
Watanzania wana mambo mengi wanapambana nayo kwenye maisha yao siyo kuhangaina na ombaomba na kisiasa
#KigogoMediaUpdates
UFIPA MMEANZA TENA UTAPELI NA MICHANGO?
Hamuwezi kuwa chama serious kwa huu upuuzi mnafanya miaka yote kuomba michango na mkichangiwa hamtaki kusema hela mmetumiaje!..
Tone Tone si mliizindua kwa mbwembwe sana nyie mkafanyq mpaka matangazo kama sendoff mliishia wapi? Hamna ruzuku kwa kuwa hamkushiriki uchaguzi sasa mnamlaumu nani?
CHAMA cha hivi kina mchango mdogo sana kwa taifa na hamuwezi kila siku mnawa mnaendesha siasa kwa mtindo huu. Hakuna mahali mtafika na miaka 30 ya uhai wa chama chenu bado mnaomba omba michango kufanya siasa?
Nyie si mnasemaga mna wanachama zaidi ya 10m nchi nzima kwani si wanalipa ada za uanachama zinafanya kazi gani hela mnakusanya kwenye hizi ada za uanachama ? Nyie si mna mambo yenu ya kusajili wanachama kidigitali si mlikusanya hela zimeishia wapi?
Mnatia kichefuchefu sana mnapogeuza watu kama kitega uchumi chenu na hizi siasa zenu za ujasiriamali...🚮🚮🚮
#KigogoMediaUpdates