Things you don't need for fat loss:
• Keto
• OMAD
• Fasting
• Fat burners
• Waist trainers
• Endless cardio
• Intermittent fasting
Things you need:
• Sleep
• Water
• Discipline
• Consistency
• High protein
• Calorie deficit
• Lifting weights
• Daily movement
@JMakamba Msaada unahitajika katika kuboresha matumizi ya platforms zilizoanzishwa na @tanescoyetu kwa ajili ya kuwasiliana na wateja. Matumizi ya platforms hizi kama Telegram etc bado hayapo effective, mteja hapati majibu ya uhakika anapopata changamoto na majibu hayaji kwa wakati.
@tanescoyetu mkoa wa kinondoni, tumeuliza mara nyingi faida ya kuwa na platforms kwenye WhatsApp au Telegram ni nini? Hamtoi majibu maswali yakiulizwa, hamrudishi umeme kwa wakati, hamtoi sababu pia. Customer service sio nzuri kabisa kwa wateja wenu. Cc Waziri wa Nishati.
Kama sehemu ya mkakati wa kudhibiti uhalifu wa mitandao, kuanzia sasa namba 100 pekee itatumika katika mawasiliano kati ya wateja na makampuni ya simu na sio namba za kawaida. Wananchi tuepuke kutoa ushirikiano kwa simu za huduma kwa wateja kupitia namba za kawaida
@TCRA_Tz
Prof. Janabi awashauri wananchi kujenga mazoea ya kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu kama wana magonjwa ya moyo au la na kama wanamatatizo wataweza kupata matiba mapema kabla ya tatizo kuwa kubwa na kama hawana itawasaidia kujikinga ili wasipate magonjwa hayo.
Angalia fukwe🏖️ hii nchini #Tanzania ilivyosafi kutokana na ubunifu huu wa samaki wa wavu wa chuma uliotengwa kwa ajili ya kutupa taka za plastiki.
Huu ni mfano mzuri sana wa #BeatPlasticPollution: https://t.co/4ZPSM4SuGK
📸Fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam I
@fredynjeje
Dansi ya #zumba inasaidia kupunguza lehemu (mafuta yasiyotakiwa mwilini), kuupa mwili wepesi, kuondoa msongo wa mawazo, kuchangamsha na kuimarisha afya ya moyo! #zumba na #yoga ipo kila wiki siku ya Jumanne jioni kati ya saa 12.30 jioni na saa 02.00 usiku. Karibuni sana 😎👊🏼💪🏼
Matumizi ya #steppermachine husaidia kuimarisha misuli sehemu ya chini ya mwili (kuanzia kiunoni, mapaja, miguu). Zoezi hili likifanyika vizuri husaidia pia kuimarisha misuli sehemu za tumbo na kuimairisha mfumo mzima wa upumuaji (cardio system). #karibu#saragossafitness 😎💪🏼👊🏼