'Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? '
Isaya 58:6
' Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia. '
Matendo 13:2
Given the blazing pace of AI, this looks like an important event for mission-driven organizations in the Christian domain featuring Eric Célérier via the good folks at @faithtechhub , @MissionalAI , Biblica, @WitnessToAll .
https://t.co/BG2k7CA1R0
Kwenye X Space Alhamis hii tutajifunza mambo yanayokuza Uhusiano binafsi na Mungu.
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu @pastoradamsamson
Karibuni sana tujifunze pamoja.
Mstari huu unasema juu ya umuhimu wa kupanga vizuri katika maisha ya kila siku. Kama vile kujenga mnara kunahitaji kutathmini rasilimali, malengo na maamuzi yetu. Iwe ni kusimamia fedha, kuanza mradi, au kufuata ndoto yote yanahitaji maandalizi ya kina.
Mfumo wa mungu kuuathiri ulimwengu na kuyafikia mahitaji yetu ni kupitia watu.
Yesu alikuja kama mtu na maisha yake hapa duniani hadi kutuletea ukombozi yalihusisha watu.
Sisi kama watu tuna thamani sana, ndio maana Mungu alimtoa yesu kwa ajili yetu.
Je, unawathamini wengine?
Tunajifunza kumuweka Mungu mbele katika kila jambo tunalofanya. Tunapomwamini Mungu kwa malengo yetu, ndoto zetu, na majukumu ya kila siku, Atatuongoza na kufanikisha mipango yetu kulingana na mapenzi Yake.
Je, umeikabidhi mipango yako kwa Mungu?
Last weekend, 16 young people participated in a Hackathon, spending 3 days and 2 nights creating innovative solutions to impact our community and help spread the Gospel. The teams presented their group projects to a panel of judges, who provided feedback for further development.