@AdellaAm@MarekaMalili I would strongly recommend resettlement for obvious reasons; most of the times monetary compensation doesn’t reflect cost and end up being used by men to marry and diminishes over a short period of time.
@MarekaMalili Revenge test better when served cold! Wauza ngada huwa hawafanyi haraka wanangoja usahau usiwe na haraka Bashite na Meko have nowhere to hide in this world tunasubiri kwa hamu kugawana vipande vipande hata ukucha wanitosha! Just stay tuned umewahi ona kaburi la Hitler au Osama?
@zittokabwe And unahamasisha watu disparately wajiandikishe kupiga kura kwa serikali za mitaa katika mazingira hayo?I don’t even understand it doesn’t make any sense. You have a lopsided symmetry! CCM washindani are the returning officers and backed by Tanpol uchaguzi wa mitaa polisi wani?
@BMatungwa Bernard you are out of your mind! I personally advised Dr. Tundu Antipas Lisu to stay away from going back to Tanzania until the Dictator who approved his failed assassination is removed from power in a sustainable manner. As we don’t expect the ballot box to be respected soon !
"Dhamana ya uongozi haikufanyi uwe mtu zaidi ya raia mwingine,haikufanyi wewe uwe na haki zaidi kuliko mtu ambaye si kiongozi " - Kikwete
● mimi sipangiwi
● hamkunichukulia fomu
● nitapiga shangazi zao
● msaliti anapaswa kuuwawa
● i wish i could be IGP
● kamueleze mke wako
@MarekaMalili Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu si ndio kazi yake ceremonial huyo Pinda kawa mzuri lini? Si manakumbuka alisema wapigwe tu akaishia kulia bungeni ili kuokoa Uwaziri Mkuu? Birds of the same feathers fly together !
@kigogo2014@millardayo @iAmBrighton1 @ayotv_ Anazitoa kutoka mfukoni kwake kuna development budget that is approved by the Bunge huyu Rais Magufuli anatoa fedha bila kupitishwa na Bunge?These sycophants are mad. Fedha hutoka from the consolidated fund baada ya CAG kuridhaa it’s non of his business au ndio kuvunja katiba?
@IAMartin_ You are absolutely right John Pombe Magufuli without fear says “nchi imechezewa sana” invariably pointing accusing fingers to past GoT that is the late Nyerere and ex Presidents Mwinyi, Mkapa and Kikwete all from CCM, unbelievable he was a full time Minister in the 3 rd &4th GoT
“TUJISAHIHISHE” kitabu kimeandikwa na Mwl. Julius K. Nyerere, May 1962, akiongelea UBINAFSI wa WATU walioamini NCHI na TANU ni mali YAO pekee yao. katika muktadha wa leo ni sawa na ambavyo wana CCM na Mwenyekiti wao wanavyodhani TANZANIA ni mali ya CCM na wengine ni wahamiaji
@CNN Democrats are surely demonstrating failure they wasted millions of dollars on fake Russian intervention in 2016 elections.They should prepare for 2020 elections instead of fake impeachment
@BMatungwa I beg to differ Mtaji wa CCM ni Katiba, Tume ya uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi( returning officers) pamoja na Jeshi la Polisi Tanzania (CIC)make no mistake about that. Women are only the icing on the cake kuona wakivaa kanga na vitenge vya CCM to hoodwink the viewers period!
@TitoMagoti@MariaSTsehai Primary and secondary school girls pregnancy is systemic and cross cutting there is no quick fix to that. Harsh words and even presidential decree won’t do.The 30 years jail term doesn’t seem to be working. An inclusive Policy review must be done & provide a new legal framework
@cw_pedro Kuna Wapumbavu walianza kujenga mabwawa ya maji kule Mkata na Manga mkoani Tanga wamekamatwa you ask the administrators where is the project document including the Feasibility Study Report simply hakuna anatakiwa akamatwe Katibu Mkuuu na wahandisi wa Wizara sio Mkandarasi?
@cw_pedro Rais Magufuli ni tatizo kubwa anasema kwamba upembuzi yakinifu(feasibility studies) zinachalewesha miradi? Huyu alisoma which business school . Projects have to be justified aligned and inclusive bila hivyo failure is certain. Sijui kama anajua the definition of a project?
@MabalaMakengeza The same Jakaya played circus and we couldn’t get the much celebrated Warioba Committee constitution and we are back to square one with the old one that established an imperial presidency! Surely the ex president has nowhere to hide as far as the current dispensation is concerned
@SuphianJuma@ACTwazalendo @doromankaa Unapiga kura kwa utaratibu wa ajabu what do you get out of farce elections. CCM inashiriki kwenye uchaguzi ambao wasimamizi ni makada wa CCM bora usingezaliwa. We need an independent electoral commission huo uchaguzi Rais Magufuli kawaita wasimamizi unaona poa kweli?
Natafuta ibada ambayo ina:
a) Nyimbo za shangwe na furaha, zinazosisimua na kushirikisha
b) Hubiri ya kuchambua siyo ya mihemko na kelele
c) Nafasi ya kutafakari na kusali kimyaaa bila kuingiliwa na mchungaji.
Nitapata wapi?