Hakunaga watu wanao jionaga wamepatia maisha kama wale habiria walio pata siti kwenye bus...
.
Yaani ulie simama pembeni yake anavyokuangalia sasa ๐
Huyu ni mtu mmoja katoa oda ya dining table ya viti 8 pamoja na kitanda super mninga
Dining table 2.7M
Kitanda 1.5M
Jina kasema tusimtaje ila mnamjua
Asanteni kwa kutuamini sisi ni vijana tuendelee kupushiana pale inapobidi tulianza chini mpaka sasa Mungu mwema
โ๏ธ0710444391