📍TRENI LA "OVER 0.5" LINATEMBEA HADI JUMAPILI, LIKO TAYARI 💰
📍ODDS 5.4K, MECHI 60✅️. Hili ni kwa WANAOLITAKA TU
📍KAMA UNALITAKA RETWEET HAPO CHINI NIKUONE NIKUPE CODE 💰
@George_Ambangil Ila @George_Ambangil inaonekana Erick ni Kama hajui afanye nn yan amekuwa Kama mtu anaye amka ndotoni kwasababu the philosophy ambayo ame apply kwenye mpira wake especially ajax haijaonekana kufanya kwazi kwasababu even players sijui Kama n yy au timu imempa but it's opposite
🦅UMEIBIWA SIMU NA HUKUMBUKI IMEI NUMBER UFANYE NINI:
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo
@adamlutta Lakn pia kila siku Africa inapoteza maelfu ya watu kwasababu ya mivutano kama hii lakin Dunia imekaa kimy tu Leo sijui niko sahihi lakn labda n kwasababu wazungu Wana feel ile hali ambayo Somalia na Sudan wanaishinayo every single day ndomana iko hot
@adamlutta Wacha ao nato au us ,kwan awa umoja wa mataifa hapo umu duniani au kuna mambo menhine wanashughulikia .tena marekani wanafki sana yani wao walivalia njuga ili swala hadi Dunia ikajua nn kinaendelea Leo hii wamewaachia jumba bovu wenzao 😔
@George_Ambangil Do you also agree that salaa is the world best for now ,or I think he needs to prove the consistency first atleast until the end of the first round.