@amprincess9 Yaan ukiwa masikin wa akili kaz sana mtu ambae uko bize na mambo yako huwez kufikiria kufanya ivo ukiona umepewa akili mshukuru sana Mungu
Hatuna utajiri ila tunaishi vizuri, love kwa wana X wote ambao tunaishi kwa upendo na mshikamano hakika sisi ni zaid ya ndugu, mkawe na siku njema wapendwa