@lifeofmshaba TAL & CDM position on No Reform no Election is vindicated. Certainly there will be no election in October, 2025 except the ccm, act and chauma comedy🚮🚮
Nimesikia kauli ya Rais leo, kwa masikitiko makubwa niseme, Kuteka watu, kuua watu na kuwapa watu kesi za uongo sio mambo ya ndani ya Nchi.
Dunia hii haiwezi kunyamazia uovu na matendo ya kidhalimu, Dunia haikunyamazia uovu wa makaburu kule Afrika kusini. Dunia haitanyamaza dhidi ya mtu yeyote anaekiuka haki za binadamu.
Usiondoke CHADEMA kwa kusema uongo. Usipake kinyesi kuta za CHADEMA kwa tamaa zako za ubunge na udiwani. CHADEMA siyo daraja la cha kutafuta madaraka na vyeo vyako. Lengo mahususi la CHADEMA ni kuwatoa Watanzania mahali walipo sasa na kuwapeleka katika nchi ya ahadi. Tupo pazuri.
Kitka haya mambo yote, hakuna kitu ninachukifurahia kama hiki!! Huyu mwamba ameonyesha UZALENDO waajabu sana.! Ropost 500 zimfikie @IAMartin_ 🥰🥰🙌💪💪✌️✌️✌️