Watoto wakike bwana! watu tunafanya kumbukizi za Baba wa taifa alicho fanya miaka 50 ilioyopita, mimi kukutafuta leo tu kisa vimahusiano vyetu vilivunjika bila sababu za msingi miaka michache nyuma apo"Eti I moved",nijitambulishe sana ndo unikumbuke mnamatatizo gan!