@SimbaSCTanzania Refa amesababisha tumepata suluhu, vinginevyo coast walikuwa wanatupiga goli la tatu 🥲 siri ya uzito wa wachezaji mwishoni iwekwe mezani
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo.
#AzamTVUpdates
Wahariri | @moseskwindi, Sabina Ntobi na John Mbalamwezi
@azamtvtz Mazoezi ya viungo ni kitu muhimu kwa wachezaji, licha ya kukimbia uwanja mzima bado Pacome alikuwa na ubavu wa kuwaangusha na kuwapiga vikumbo wachezaji wengi wa Simba huku akiwa na balance ya kubaki amesimama