"Kuzaliwa au kusubiri kufa hakuwezi kuwa sababu ya kutosha ya wewe kuendelea kuishi. Umepewa talanta na umeitiwa wito. Kamilisha deni lako." ~ Togolani Mavura.
Siku moja niliandika humu nikilalamika maumivu ya jino limetoboka, Kwa maumivu yale ilibaki hivii 🤌🏾 nikang’oe!!! Mtu mmoja wa X akaniDm akanielekeza na maduka ya Khm nikanunue hii dawa ya meno😍🥰. Man THANK YOU 🙏🏾, I can highly recommend this km una shida ya meno.
Ni muda wa kufungua Box la CAMON 30! Je yaliomo yamo?
Ni kitu gani kipya umegundua kutoka kwenye package hii?
512GB 24GB RAM | 50MP SONY sensor camera | 70W ultra charge | 4K 60fps portrait video | MediaTek 8200 | AI Image
#Onautofauti | #Camon30IsDifferent | #StopAtNothing
Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji wake.
Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano wa jamii mbalimbali.
Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali katika kipindi hiki cha miaka 20 na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.
Mungu Ibariki Afrika.
BIBI TITI MWANAMKE MZALENDO
Bibi titi Mohamed, Mwanamke mzalendo na mwanachama wa tanu aliyekuwa mpigania uhuru wa Tanganyika.
BIBI Titi Mohammed alizaliwa juni mwaka 1926 ,Dar es salaam, katika harakati zake za kuwakomboa wanawake ,Bibi Titi alikaririwa siku moja akisema;
Unemployment is making people more
depressed. Staying at home 24/7 and
being broke is doing so much harm to
mental health. My prayers are with
everyone struggling with employment.
A Job with your name on it will locate
you. Amen!
1.8 billion children are living without social protection, which violates their rights & prevents them from fulfilling their potential.
@ilo and @UNICEF say amid multiple global crises, there is an urgent need to scale-up social protection for children: https://t.co/RX5RmPfDPm
NINI MAANA YA MSALABA KWA MKRISTO MKATOLIKI?
▪︎Na Frateri Emilian Samson Mahinya
Msalaba ni alama ya ukombozi kwetu sisi Wakristo Wakatoliki. Msalaba ni kitulizo katika magumu ya maisha, ni shule inayotufundisha upendo usio na kikomo aliouonesha Mungu kwa binadamu,