@yangasc1935 mkiwa home ground mnawavalisha mashabiki wenu majezi ya picha za mama kuupiga mwingi na mabango ya wanasiasa,Wenzenu wamewaonesha jambo mnalotakiwa kuwaambia mashabiki zenu wafanye uwanjani.
#TotalEnergiesCAFCC#YangaSc#TotalEnergiesCAFCL