‼️🚨GEN Z NOTICE TO POLICE‼️
Official notice to the police with copy to all Regional Police Commissioners and Regional commissioners
#D9 loading.. 💪🏽
Hii ni taarifa rasmi imefikishwa kwa polisi kutoka Gen Z Tz - nakala kwa RPC wote na wakuu wa mkoa - wasiseme hawajapokea @tanpol
Vijana wamesema safari hii hawataki kuitwa wahalifu au wahaini! Haya maandamano ya amani ya kudai haki yatafanyika Desemba 9 na wameshatoa taarifa!
💪🏽 🇹🇿
Samia Suluhu ni rais BATILI! Na wanajua viongozi wote ila wanaleta unafiki tu! Rais mstaafu Ian Khama kasema kile wanachojadili kwenye korido! Ndiyo maana hata Ramaphosa hakumpongeza na wakajichatisha akina Nchimbi eti sijui SADC imepongeza! Hakuna kitu kama hicho!
Huyu atakuwa Rais wa DODOMA labda!
Na ndiyo maana anatafuta maridhiano sasa watanganyika tunamwambia aridhiane na Nchimbi ila maridhiano pekee ni 👇🏾👇🏾👇🏾
#SamiaMustGo
Kwisha maneno
#TanzaniaMassacre
Kuna wanaotaka tusahau ndugu zetu waliotekwa na kuuwawa - Nimetengeneza tovuti ya kuwaenzi na kuwapa majina na sura wote tuliowapoteza katika kipindi hiki cha majaribio Tanzania. Naomba tusaidiane kupata majina na sura za ndugu zetu amabao hawajulikani walipo au wameuawa, ili tuweke kumbukumbu zao hapa kwa leo na kesho. Link kwenye comment.
🙄🙄
Police still trying to cover up and steal the bofies from mortuaries to bury ay secret mass graves
Someni ujumbe huu - majerhi hawako salama hospitali za serikali!
#TanzaniaMassacre
@RahmaMwita Tuliwaomba muungane na @ChademaTZ2 kudai #noreformsnoelection mkasema mnalinda kura mhuni hasusiwi kwani sisi ndio tuliwapeleka mshiriki uchaguzi, kubalini kubeba kila aina ya mishale kwa nyakati hizi hamuwezi kukwepa.