@kibaha_finest hyo tamthilia ilitakiwa kuisha mapema sana story yake walivyoona watu naipenda sana na wao sasa wakaona waifanye iwe kama ndefu kwa kuipa script ambzo hazikuwepo kwenye story
wakaona isiwe na mwisho wakahisi tutakuwa tunaangalia tu wao kama vile akuna tamthilia zingine ๐ญ