Hakuna urafiki eneo la kazi.
Fanya kazi, lipwa, then go home.
Usi-overshare maisha yako binafsi.
When money is involved, move smart. Not every smile around you is genuine.📌
#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
Mimi naogopa umaskini wa kujitakia, unavyoelewa maisha ni tofauti na mimi ninavyoyaelewa, ikitokea leo nimefilisika sina hata mtu mmoja wa kunipa 500k, so naenda nayo navoona ni sawa, tusibezane kisa tu sifanyi mambo kama wewe.
Brother unakuwa;
1. Smart sana
2. Msafi sana
3. Career imenyooka
4. Business inaenda
5. Sexually attractive/mwili uko vizuri
6. Socially acceptable
7. Financially literate
Wanawake wote wanakuona kama red flag kwa sababu tu “You’re too good to be true” kwa standards zao.
Open day balton tz
Jukwaa muhimu kwa waduu wa kilimo pamoja na wakulima katika kuonyesha bidhaa zetu kutoka kwetu zikiwa shambani.
Pia imekuwa wakati mzuri kupata mtejesho kutoka kwao katika kuboresha huduma na bidhaa zetu.
@iAmLyimo@lukmanabeid
Wakulima wa mlali, Dumila, kilosa, Doma, Msongozi, Melela, kikunde walituambia Mbegu bora za nyanya wanazolima ni Asilla F1 na Ansal F1
Nilikutana pia na mabwana shamba bora kutoka SUA wafollow
@dady_mawi@lukmanabeid#AssilaWeek