Siku ya leo ni nzoto kwangu, Bibi ambaye amenilea toka udogoni baada ya mama kupewa mimba akiwa form four leo amefariki sina nguvu sina uelekeo mtu pekee aliyekua ananipa moyo ameenda
@Captain_Josh47 Kuna demu nilimuelewaga sana ila tukaja kugombana then tukasolve ikaisha kesho yake nikampitia kazini kwake turudi home tupo kwenye gari simu yake ikaita akaificha then akakata nimemfikisha kwake akaashuka direct kuongea na simu mpaka leo hii sijawai kumuamini tena