Twaweza East Africa has appointed Anna Bwana (@BwanaAnna) as its next Executive Director. After a rigorous open search process, Bwana was selected and will take up her new post on 15 May 2025.
She replaces @aeyakuze, who has become the CEO of the @opengovpart.
Learn more: https://t.co/mu71jWsZCh
#ChangeNiSisi
Wanafunzi wa form 6 Mzumbe Sec yaani Christopher Honeywick na David Mwijage wamebuni mfumo wa Uchaguzi wa Kidigitali hapo Shuleni kwao. Mfumo huo unaonesha Matokeo Live, Unapunguza gharama za uchaguzi, Unaondoa uibaji wa kura na Ucheleweshaji wa matokeo. Vijana hawa wazingatiwe.
Wanafunzi wawili wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Mzumbe, Christopher Honeywick na David Mwijage, wamebuni mfumo wa kidigitali wa kupiga kura, unaolenga kuondoa changamoto za ucheleweshaji wa matokeo katika chaguzi za serikali ya wanafunzi.
Mfumo huo unaonyesha matokeo moja kwa moja (Live Votes) na una kipengele cha usalama kinachozuia mtu kupiga kura zaidi ya mara moja, hivyo kuhakikisha haki na uwazi.
"Teknolojia inabadilisha dunia, tunapaswa kuendana nayo. Mfumo huu unarahisisha upigaji kura, unapunguza gharama na unaongeza uwazi," amesema Honeywick leo Ijumaa Februari 7, 2025 wakati wakionyesha mfumo huo shuleni hapo.
Mwalimu wa Sayansi ya Kompyuta, Joshua Mbilinyi amesifu ubunifu huo akisema kuwa unathibitisha jinsi vijana wanavyoweza kutumia teknolojia kutatua changamoto halisi.
Mkuu wa shule, Baraka Kupela ameahidi kuendeleza vipaji hivyo kwa kutenga chumba maalumu cha Sayansi ili kusaidia wanafunzi wabunifu kuboresha mawazo yao kwa vitendo.
#tunaliwezeshataifa
#mwananchiupdates
π’ NEXT-GEN AUCTIONEER + REALTOR inakukaribisha kushiriki mnada wa kuuza mali za thamani jijini Dar es Salaam. Pata fursa ya kumiliki nyumba za kifahari zilizopo Mikocheni na Mbezi.
Mwisho wa kupokea zabuni: 19 Februari 2025.
Kwa maelezo zaidi, piga simu
π +255 659 166 440.
π’ @NextGenTanzania invites you to submit sealed bids for the sale of prime properties in Dar es Salaam. This is your chance to own valuable real estate at Mikocheni and Mbezi.
Submission deadline: 19th Feb 2025.
For details, contact us at
π +255 659 166 440.