Imekuwa ghafla na muda mfupi sana toka nifahamiane na wewe Mzee mcheshi na mwenye utayari na upenzi wa kujifunza kwa vitendo.
Mtu wa kusimulia simulizi zenye kufundisha na zenye vichekesho ndani yake. Buriani Mzee Mwinyi, Buriani Rafiki yangu katika Kilimo.
"Maisha yetu hutegemea mtazamo tuliouchagua kutawala maisha yetu.Wako walioruhusu maisha yao kuendeshwa na HOFU na wako wale walioruhusu maisha yao kuendeshwa na TUMAINI. Wale wa kwanza hukaribisha mashaka katika maisha yao, wakati hawa wa pili hukaribisha furaha.Chaguo ni lako!"
"Kwa udhaifu wetu, tunatenda dhambi kila siku iwe kwa kuwaza, kwa kunena, kwa kutenda au kwa kutotimiza wajibu. Ili kufidia, tujitahidi kutimiza japo ibada moja na kutenda wema japo mmoja kwa siku kila siku kusawazisha dhambi zetu." ~Togolani Mavura.
Tunaposema tunataka Rais Samia awe safi na tumuunge mkono bila mashaka ni pale tunapoondolewa makitu kama Pauline Gekul ndani ya serikali.
Haturakubali kuona serikali ya Rais Samia inachafuliwa kwa kuwa na mawaziri wa hocyo kama Pauline Gekul.
#KigogoMediaUpdates
"Duniani kuna viumbe-watu. Machoni ni nadhifu, mioyoni ni dhaifu, upenuni ni watu ila kizani ni mwitu, sura zao ng'avu ila ndimi zao sumu." ~Togolani Mavura.
Wishing His Majesty King Charles III a blessed 75th birthday. God bless His Majesty for initiating transformative work to tackle Africa’s crisis of youth unemployment @PrincesTrust
Hatujawa na wakati mzuri kwa siku za karibuni lakini lazima tukubali kwamba yameshatokea, tumejifunza na kuchukua hatua kwenda mbele ambako safari bado ni ndefu. Umoja wetu kama ilivyo #NguvuMoja ni muhimu kwetu wote tukianza na leo kwa kuja uwanjani kutushangilia.
"Bila kuwasaidia wao kufika hapo ulipo, wewe hutatoka kufika kule unapopatamani kwenda. Inabidi apatikane wa kujaza nafasi yako ya sasa ili nafasi yako ya mbele ifunguke." ~Togolani Mavura.