Lengo la MAMATHON ni kutoa elimu na kuhamasisha wajawazito umuhimu wa kufatilia afya zao hususani kwenye suala la mazoezi na lishe bora kwa mama na mtoto, pia tutajikita katika kutoa elimu kwa vitendo pamoja na kugawa vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito.
#MwendoWaMamaKorogwe
”Natamani kuona wanafunzi na hasa wa kike Kisarawe wakitumia muda mwingi kujifunza kuliko kukabiliana na changamoto kama umbali wa kutembea na hivyo kupoteza morali ya… https://t.co/YwsdDye2CA
Katika kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani naungana na Wanawake wenzangu duniani kote kuadhimisha Siku hii Adhimu kwa Mwanamke. Kitaifa kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Badili… https://t.co/CTO76lsrtv
Asalaam Aleikum.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka yetu, Sheikh wetu, Imam wetu Sheikh Zuberi Yahya (Imam mkuu Masjid Mtoro)hatunaye tena duniani.
Innallilah… https://t.co/vatDVkBgsc
Pengine tuna ndugu,jamaa,marafiki au watu wetu wa Katibu kabisaaa ambao wanamatatizo ya kinywa na meno,na tusijue tunawasaidiaje.
Sawa tunaweza kuwapatia msaada watu hao Kwa kuwakutanisha… https://t.co/5rnLIuhQtK
When God got your back and you have nothing to worry about,
Asante yesu tumemuaibisha shetani💪
Its Monday and am full of energy #kidoti @ Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania https://t.co/NT0adsVamn
I nominate @jokateM ni mchapakazi na anagusa Maisha ya vijana wengine kupitia kazi zake za jamii,kuipa elimu kipaumbele hasa Kwa watoto wa like,kujituma na kujitolea katika jamii kunaleta muamko na hamasa kubwa Kwa vijana #Wikiwomentz#Wikigap@SwedeninTZ
@jokateM@Tigo_TZ@Tigo_TZ more than kufungiwa mmliki wa hyo namba afatiliwe as well ameshatapeli watu wengi sana,Kwa kutumia jina la mtu mwingine.asante