weekend imeanza i only have 0 bob in my pocket asubuhi bado grants ya jana haijatoka kwa system simu imekufa na ndio huyo naenda job
well hope the sun shines on me leo
nikama simu imefika mwisho wa maisha yake sasa screen inakaa tu grey na hairespond hakubali kushikwa
eii jamani 😭😭sasa simu mpya natoa wapi na hamna mihela