Huduma ya m-mama kwa mama na mtoto
Katika kipindi cha ujauzito, kujifungua hadi uzazi, usikae mbali na huduma ya m-mama; hii itakusaidia kuondoa wasiwasi na hofu zinapojitokeza dalili za hatari kwa mama.
Huduma ya m-mama kwa wajawazito
Katika kipindi cha ujauzito hadi kujifungua, usikae mbali na huduma ya m-mama; hii itakusaidia kuondoa wasiwasi na hofu zinapojitokeza dalili za hatari kwa mama
Piga simu bure kwenda namba 115 ili kupata huduma hiyo.
m-mama Okoa Maisha.
Kwa usafiri wa Dharura wa Mama na mtoto mchanga Piga 115 bure.
Kwa taarifa,Elimu na Ushauri zaidi Piga Simu 199
@dr_mollel@ntulikapologwe@onamach
#Repost@azamtvtz
——
Kutana na M-Mama...mfumo bunifu wa kidigitali wa kuratibu rufaa kwa usafiri wa dharura kwa wajawazito, unaofanya kazi katika mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, ukilenga kupunguza vifo vinavyotokana na kuchelewa kupata huduma stahiki kwa mama mjamzito
Je, wajua kuwa kuhisi uchovu na kupumua kwa shida ni mojawapo ya dalili za hatari baada ya mama mama Kujifungua?
Usafiri wa Dharura wa Mama na mtoto mchanga Piga 115 bure.
Kwa taarifa,Elimu na Ushauri zaidi Piga Simu 199
@mohamed_mchengerwa
@dr_mollel@ntulikapologwe@onamach
Kumbuka kuwa kitovu kuwa chekundu, kutoa damu au usaha ni mojawapo ya dalili za hatari kwa Mtoto mchanga.
Mpeleke haraka kituo cha huduma za afya kwa uchunguzi na matibabu ili kuokoa maisha.
Kwa usafiri wa Dharura wa Mama na mtoto mchanga Piga 115 bure.
Kwa usafiri wa Dharura wa Mama na mtoto mchanga Piga 115 bure.
Kwa taarifa,Elimu na Ushauri zaidi Piga Simu 199
@mohamed_mchengerwa
@dr_mollel@ntulikapologwe@onamach