@cleansheet_1 Mbon mnaumia na maisha ya mwingine huyo hakujui wew ndiye unayemjua kwahiy mipaka yenu iishie palepale uwanjani na ukimkosoa hiyo mada ihusiane na mpira kwasababu hukumjua akiwa mwimbaji wala model wala huusiki na chochote kwenye faragha yake nje ya uwanja
@athanas_pius Irizar ni kampuni tangu ya kutengeneza luxry coach na interior design zingin lkn kampun inaweza kuwa ni bus lolote hata BMW irizar zipo saw wakuu irizar sio kampuni ya magari haizalishi ingini,chezes wala body wao ndio kam nilivyosema hapo juu