Football for Girls | Gender equality in football | Sports for development | Flagship Event #MabintiCup 🏆| Founder: Hon @neemalugangira | CEO: @PKishamba ⚽️
Taasisi za @FridaAmani & @Aishamagoal_10 zimeandaa #charitymatch ya kuhamasisha mabinti kucheza mpira wa miguu na maendeleo yao. @mabinticup, tumeunga mkono, tumelipia mabinti 100 kushuhudia mechi kesho KMC Mwenge. Mapato yote yanaelekezwa kwenye ujenzi wa shule 💪⚽ #GirlsLead.
Tunawashukuru Waandishi wa Habari 14 kutoka Bukoba Mjini ambao wamejiunga kwa hiari yao kuunga mkono ajenda ya #MabintiCup ambapo leo wamekubaliana na Mhe @neemalugangira kushirikiana kutimiza malengo ya #MabintiCup; kuibua & kukuza vipaji na kutumia michezo kuchagiza maendeleo.
Kamati Tendaji yetu leo wamekutana Bukoba Mjini kujadili maendeleo ya maandalizi ya #MabintiCup na kila kitu kipo level 🔥
#KickOutGBV ⚽️ #PigaTekeUkatili ⚽️
Mwanzilishi wa #MabintiCup, Mhe @neemalugangira amekabidhi mahitaji ya kuwezesha Wanafunzi Wanamichezo 240 wa Shule za Msingi na Sekondari (UMISSETA na UMITASHUMTA) wa Bukoba Mjini kushiriki Mashindano ngazi ya Mkoa. Tumefurahia hamasa ya wanafunzi hawa juu ya ujio wa #MabintiCup
Welcome to #MabintiCup, the first of its kind in Tanzania 🇹🇿; football tournament for girls and women that aims to scout and nurture talent, promote gender equality in sports and use sports to strengthen democracy & peace, economic empowerment, digital skills and health for all.