@AmboMwaisaka@freemanmbowetz ili akamilishe miaka kadhaa inayokubalika kikatiba.. (HUZUNI)
Shida yetu kubwa ni demokrasia ya kweli na uchaguzi wa haki,, with these naamini tutachagua mtu anayestahili na atakuwa na hivyo vigezo bila kujali whether vipo kwenye katiba zetu au la,, (nb: ni lazima viwe stated)
@AmboMwaisaka@freemanmbowetz Siyo nzuri kutokuwa na ukomo, kwa sababu ukiondoa kifungu hiki itakubidi pia uondoe vigezo vingine ambavyo vinampa au kumnyima mtu fursa ya kugombea, matokeo yake ipo hatari ya kupata watu wasio na vigezo stahiki kwa nafasi zao,, lkn tunaweza kuwekeza nguvu kwenye
@AmboMwaisaka@freemanmbowetz lkn kwa nyakati tofauti zimetupatia viongozi wabovu sana wenye vigezo stahiki. mtu hana sera za maana lkn atachaguliwa over mwenye sera nzuri ambaye amefikia ukomo wa uongozi, mtu siyo mtekelezaji wa sera zake lkn inatolewa form moja (hana mpinzani)
@AmboMwaisaka@freemanmbowetz kuelimisha umma wajue sifa wanazotakiwa kuassess kwa wagombea, wachukue nafasi kusikiliza na kuchakata sera, halafu demokrasia iimarishwe na uchaguzi uwe huru na wa haki ili mgombea anayekidhi vigezo na anayeungwa mkono na wengi apewe uongozi. Constraints ni muhimu
@Jmecky18@MalemboLE Hapana ndugu,,
Kujifungua kawaida (SVD) ni salama zaidi na huambatana na changamoto chache kulinganisha na upasuaji (C/S) ambao hata hivyo hufanyika kunapokuwa na sababu za lazima (absolute indication).