I either create environment that makes me happy or move to environment that favour my happiness...
I take life personal and am no gonna blame anyone... believe me. No one failed me... I didn't analyse my moves well dawg
Na Mwanaume tulisema ata kiumane namna gani,ata malaika atokezee kwa ndoto akuambie unakufa kesho,never move in with a woman. You will see bad things. Kwanza ikue sasa ati umepoteza kazi,bwana you will see bad things. You will understand why jesus never had female disciples. Huwa mnamaliza wiki mbili unaona ameanza kulala na trouser. Ukimguza Anakwambia ako na alergy,usimguse. Wiki ya tatu kabla ulale unaskia amekwambia uende uoge,hapendi arufu yako.
Wiki ya nne,umerudi nyumbani saa tatu,ndio angalau aone unajituma,nguo zako unapatanga uliwekewa kwa Kagunia kama fundi wa maji. Anakwambia anataka space. Woi! Woi! Mama Joyce anataka Space saa nne usiku? Na ndio ujue mwanamke ni saitan,anakufukuzanga alafu anapigia mama yako akilia,anamwambia kevo ameshindwa na majukumu,msinilaumu.
Ndio mimi nawaambianga mwanaume heri uende mathare uwaambie wewe ni wasimu wakuadmit,kabla uhamie nyumba ya mwanamke. They will never teach you this in unifasti