@rayasel94 Messi na Ronaldo sio binadam wa kawaida... Hawa jamaa walikuwa wanafunga magoli 50+ kwa misimu mfululizo like nothing...
Hawa wazee msifananishe mtu yeyote na hawa wazee!
@pierre9166@rayasel94 Kwani Pedri alikua na mechi nzuri...? Pili, msingi wa hoja umeanzia kwenye comparison... Sasa watu wanawaongelea Pedri na Vitanha wewe unakuja na Ode?
Wewe umetokea wapi?