๐จBMW X1 aka Baby BMW SUV
.
Hii ni Crossover SUV, Tena ni subcompact Luxury cross over kutoka BMW..
.
Yani Baba Mama Watoto walitaka kupata SUV ndogo na luxury inayotumia mafuta vizuri..
.
Ndo X1 akazaliwa, saa andaa kifungua kinywa gonga RT then kaa nikupe madini ya hii gari..