@SuluhuSamia kibaya zaidi wanaambiwa wazazi wapeleke hela na ili zika unuliwe shuleni. Mfano mheshimiwa Rais mtu ana watoto 3 wote wanasoma shule moja inamlazimu kununua RIM paper 3 ambayo kila mmoja ni kati ya tshs 27,000 hadi 30,000 then hapo tuna mwambia hyu mtu elimu bure
@SuluhuSamia watoto wana madaftati siku hizi unaambiwa waje na counter book quire 3 kama ishu ni kuchapisha mitiani kwann wasiombwe makaratasi tu kipindi cha mitihani? Mfano shule ina wanafunzi 3,000 wakapeleka Rim paper 3,000 zote hizi ni kwa ajili ya nn? Naomba ifatiliwe
@SuluhuSamia shikamoo mh Rais Nina jambo moja ambalo nakuomba ufanyie kazi kumezuka jamb shule zikifunguliwa kuanzia primary-form 6 wanafunzi watakiwa kwenda na RIM paper Kwa boarding school hamna shida Day kwa ajili ya nn?
@DocFaustine kuqnzia wiki jana panton ya mv kigamboniwaga inapaki asb na kuanza kazi baadae sna kwani kuna shida gani? Hilo tatizo ni la asb tu? Ebu fatilia tunapata shida asb
@Nnauye_Nape helo mheshimiwa kuna utapeli flani umeibuka sasaivi kwenye mitandao ya simu
Mtu ana divert namba yake kwa namba ya mtu aidha anamfahamu au hamfahamu then anaandika msg anatuma kwa namba zote za simu alizonazo ya kuomba fedha au ya kujifanya mwalimu au kwa kuomba
@Nnauye_Nape Sawa mkuu ni vigumu kuwapata maana no tayari wamedivert kwenye namba ya mtu polisi wakipiga anayepatika ninyule ambaye hana kosa ila wao namba wakishapokea pesa wanazima na kutupaNjia rahisi ni mitandao kuzuia divertion ya namba bila idhini ya mwenye namba kama walibyofanya ttvl